Kama Umeshawai Kutumia Instagram Ads au Facebook Ads au kwa maneno mengine Meta Ads na hujawai kupata matokeo uliyo tarajia, inawezekana ni kupata wateja au bookings basi hii course inajibu lako.
Jifunze Kutengeneza Matangazo Ambayo Yatakupa Wateja(Kuwafikia Targeted Audience)
Jifunze namna ya kutumia Budget Ndogo na Kupata Matokeo Makubwa
Jua namna ya kuepuka makato ya Apple kwa watumiaji wa simu na vifaa(devices) za AppleĀ
Utajifunza Namna ya Kuandaa “Campaign Goal” ili kuwafikia walegwa husika wa bidhaa zako.