Start the Course now with a limited-time up to 49% discount!

Jinsi ya Kupata Wateja Kupitia Matangazo Facebook(Meta Ads)

Budget Ndogo na Kupata Matokeo Makubwa

Nini Utapata Kwenye Hii Course?

Kama Umeshawai Kutumia Instagram Ads au Facebook Ads au kwa maneno mengine Meta Ads na hujawai kupata matokeo uliyo tarajia, inawezekana ni kupata wateja au bookings basi hii course inajibu lako.

Jinsi ya Kupata Wateja

Jifunze Kutengeneza Matangazo Ambayo Yatakupa Wateja(Kuwafikia Targeted Audience)

Jinsi ya Kutumia Budget Ndogo

Jifunze namna ya kutumia Budget Ndogo na Kupata Matokeo Makubwa

Jinsi ya Kuepuka "Apple Service Charges"

Jua namna ya kuepuka makato ya Apple kwa watumiaji wa simu na vifaa(devices) za AppleĀ 

Jinsi ya Kuwafikia Wateja Wapya

Utajifunza Namna ya Kuandaa “Campaign Goal” ili kuwafikia walegwa husika wa bidhaa zako.